Mwongozo wa Chozi La Heri

  • Chozi La Heri Summary
  • Chozi La Heri Uchambuzi
  • Chozi La Heri Mwongozo
  • Chozi La Heri Mwongozo Pdf
  • Uchambuzi Wa Chozi La Heri
  • Wahusika Katika Chozi La Heri
  • Download Chozi La Heri
  • Assumpta Matei

Chozi la Heri na Assumpta K.Matei

Mungu wangu! Huyu si ndugu yangu Mwaliko?” alisema Umu kimyakimya. Dick naye alikuwa kaghumiwa, hajui ia kusema. Anamtazama mnuna wake kana kwamba ni Mr Super Man katika sinema za kijasiri. Wote wawili walitazamana, kila mmoja akiapa moyoni kuwa amewahi kumwona kiumbe huyu mahali, lakini hakuna aliyethubutu kunena.

Tamaa ya kumiliki nyenzo za kujiinua kiuchumi na kisiasa, kama inavyodhihirika katika riwaya hii, inasambaratisha asasi za kijamii, pamoja na miundomsingi ya mshikamano wa kijamii. Maazimio yasiyofikiwa yanazua hali ya kuvunjikiwa—kihoro hasa. Lakini baada ya kiza kizito huja mawio ya uzawa wa jamii mpya yenye matumaini.

13 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.